• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
    • eVibali |
Shinyanga Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Shinyanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Yetu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Maji
      • Afya
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Shinyanga
    • Wilaya ya Kahama
    • Wilaya ya Kishapu
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu
    • Halmashauri ya Mji wa Kahama
    • Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu
    • Halmashauri ya Wilaya ya Msalala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Madini
    • Bandari Kavu
  • Huduma
    • Kutoa Ushauri wa Kitaalam
    • Kutafsiri Sheria na Sera
    • Kuratibu Shughuli za Wadau
    • Ulinzi na Usalama
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu
    • Tafiti
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha

WAANDIKISHAJI DAFTARI LA WAPIGA KURA SERIKALI ZA MITAA WAAPISHWA

Posted on: October 8th, 2024

Na, Shinyanga MC

WAANDIKISHAJI wa Orodha ya Wapiga Kura Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga wameapishwa kiapo cha Kutunza Siri pamoja na Kiapo cha Utii na Uadilifu

Uapisho huu umefanyika leo Oktoba 8,2024 katika ukumbi wa mikitano Chuo cha Ualimu Shinyanga SHYCOM.

Akizungumza mara baada ya kuapishwa kwa Waandikishaji hao,Msimamizi Msaidizi Ngazi ya jimbo Bw.Charles Kafutila amewataka wasimamizi hao kuwa na Lugha nzuri kwa wananchi ili wananchi waweze kujiandikisha kupiga kura wakati wa uchaguzui ikiwa ni haki yao ya msingi.

“leo mmeapishwa hapa kiapo cha kutunza siri Pamoja na kiapo cha uaminifu, ni Imani yangu kuwa kama serikali ilivyowaamini na kuwateuwa kusimamia zoezi hili ndivyo hivvyo muende kutimize majukumu yenu, nendeni mkaongee lugha rafiki kwa wananchi ili waweze kujitokezaa kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa. Amesema Bw. Kafutila

Zoezi la uandikishaji wa daftari la kudumu la wapiga kura Serikali za Mitaa kwa mwaka 2024 linatarajiwa kuanza kufanyika 11-10 Oktoba 2024.  Huku  uchaguzi ukitarajiwa kufanyika Novemba 27,2027 ambapo  kwa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga Jumla ya wakazi 120,345 wanatarajiwa kuandikishwa kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022.

Matangazo

  • No records found
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MRADI WA TABLET KWA SHULE ZA MSINGI WATAMBULISHWA NGAZI YA MKOA WA SHINYANGA NA WILAYA

    June 03, 2025
  • SHINYANGA KUNUFAIKA NA MIRADI YA REA, WAUZIWA KWA RUZUKU MITUNGI 13000

    June 02, 2025
  • ENDELEENI KUTOA ELIMU ZAIDI KUHUSU AFYA YA AKILI - DC. MBONI

    May 30, 2025
  • TAKUKURU SHINYANGA YAANZA KUCHUKUA HATUA DHIDI YA UBADHIRIFU WA SHILINGI MILIONI 92 ZA WAKULIMA WA TUMBAKU WA USHETU - DONASIAN.

    May 27, 2025
  • Angalia zote

Video

MIFUKO BANDIA ZAIDI YA ELFU 20 YAKAMATWA SHINYANGA
Video Nyinginezo

Viunganishi vya Haraka

  • Historia
  • Dira na Dhima
  • Hotuba Mbalimbali
  • Video Mbalimbali
  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Picha za Matukio
  • Miongozo na kanuni

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Mfumo wa kutuma, kupokea na kufuatilia malalamiko, mapendekezo, maulizo na pongezi
  • Ofisi ya Rais Menejimenti ya utumishi wa Umma
  • Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Boma Street, Mwanza Road

    Anuani: P.O.Box 320, Shinyanga

    Simu: +255 28 2762222

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@shinyanga.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2018. Mkoa wa Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa