• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
    • eVibali |
Shinyanga Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Shinyanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Yetu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Maji
      • Afya
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Shinyanga
    • Wilaya ya Kahama
    • Wilaya ya Kishapu
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu
    • Halmashauri ya Mji wa Kahama
    • Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu
    • Halmashauri ya Wilaya ya Msalala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Madini
    • Bandari Kavu
  • Huduma
    • Kutoa Ushauri wa Kitaalam
    • Kutafsiri Sheria na Sera
    • Kuratibu Shughuli za Wadau
    • Ulinzi na Usalama
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu
    • Tafiti
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha

Ujenzi wa Jengo la utawala Hospitali ya Rufaa Mkoa

Start Date: 2014-11-28
End Date: 2017-10-30

Mradi wa ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ulianza kutekelezwa tarehe 28 Machi, 2014 na ulitegemea kukamilika tarehe 28 Novemba, 2014 kwa gharama ya sh.900,799,180 pamoja na VAT. Mkandarasi wa Mradi huu ni Kampuni ya M/S STANCE TECHNIC AND CIVIL ENGINEERING LTD ya Arusha na Mhandisi mshauri ni Wakala wa Majengo (TBA) kwa gharama ya sh.94,044,000/=. Mkandarasi aliongezewa muda na kutakiwa kukamilisha kazi tarehe 30 Aprili, 2016 kwa sababu mbalimbali kama ifuatavyo;-

  • Mkandarasi kuchelewa kuunganishiwa maji na SHUWASA.
  • Kuwepo kwa mwamba ardhini zilizopelekea uchimbaji wa msingi kuchukua muda mrefu.
  • Kuongezeka kwa ukubwa wa kazi zilizoko ndani ya mkataba.
  • Mvua za mara kwa mara ambazo zilizababisha kazi kuzimama.
  • Kuchelewa kupata michoro ya umeme kutoka kwa msimamizi wa mradi Wakala wa Majengo (TBA).

FEDHA ZILIVYOTUMIKA.         

  • Kulipia fidia ya eneo lililotwaliwa kutoka kwa Wananchi kiasi sha sh.100,000,000/= na eneo limepimwa, kiwanja Na.1 chenye ukubwa wa ekari 135.
  • Kulipa kazi ya uchunguzi wa udongo (Geotechnical Investigation) sh.24,475,000/=
  • Kazi ya tathmini ya athari za mazingira (Environmental Impact Assesmant) sh.17,228,000/=
  • Mhandisi Mshauri (TBA) sh.57,871,366.49/=
  • Mkandarasi mpaka sasa amelipwa sh.809,913,620.28

Baadhi ya kazi za kukamilisha jengo hilo bado kufanyika kama vile kujenga mfumo wa maji safi na maji taka, kuweka masinki ya kunawia mikono, masinki ya vyooni, kujenga kichomea taka na kujenga kibanda cha walinzi.

CHANGAMOTO

Mradi kutokamilika kwa wakati kwa Mkandarasi kushindwa kutekeleza ujenzi huo na kukabidhi.

CHANGAMOTO ZILIVYOSHUGHULIKIWA

Kwa kuwa Mkandarasi ameshindwa kumaliza kazi kwa muda wa mkataba, Mwajiri anakusudia kumsimamisha kazi Mkandarasi M/S STANCE TECHNIC AND CIVIL ENGINEERING LTD wa Arusha, maelekezo ya Mkandarasi Mshauri (TBA) yanasubiriwa ili hatua za kumsimamisha kazi Mkandarasi ziweze kuchukuliwa.

Matangazo

  • No records found
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • KIKAO CHA MAPITIO YA ROBO MWAKA KWA KIPINDI CHA OKT - DES 2024 CHA (PJT MMMAM) CHAFANYIKA MKOANI SHINYANGA.

    February 28, 2025
  • RCC SHINYANGA YARIDHIA MAPENDEKEZO NANE (8) YA MATUMIZI BORA YA ARDHI.

    February 27, 2025
  • KUKAMILISHWA KWA MIRADI YA BARABARA KUTAPUNGUZA KERO KWA WANANCHI – RC MACHA

    February 26, 2025
  • WALIMU, TOENI ELIMU INAYOENDANA NA MABADILIKO YA TEKNOLOJIA -RC MACHA

    February 24, 2025
  • Angalia zote

Video

MIFUKO BANDIA ZAIDI YA ELFU 20 YAKAMATWA SHINYANGA
Video Nyinginezo

Viunganishi vya Haraka

  • Historia
  • Dira na Dhima
  • Hotuba Mbalimbali
  • Video Mbalimbali
  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Picha za Matukio
  • Miongozo na kanuni

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Mfumo wa kutuma, kupokea na kufuatilia malalamiko, mapendekezo, maulizo na pongezi
  • Ofisi ya Rais Menejimenti ya utumishi wa Umma
  • Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Boma Street, Mwanza Road

    Anuani: P.O.Box 320, Shinyanga

    Simu: +255 28 2762222

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@shinyanga.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2018. Mkoa wa Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa