• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
    • eVibali |
Shinyanga Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Shinyanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Yetu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Maji
      • Afya
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Shinyanga
    • Wilaya ya Kahama
    • Wilaya ya Kishapu
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu
    • Halmashauri ya Mji wa Kahama
    • Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu
    • Halmashauri ya Wilaya ya Msalala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Madini
    • Bandari Kavu
  • Huduma
    • Kutoa Ushauri wa Kitaalam
    • Kutafsiri Sheria na Sera
    • Kuratibu Shughuli za Wadau
    • Ulinzi na Usalama
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu
    • Tafiti
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha

Wazazi wawajibike kuhakikisha watoto wanamaliza elimu yao

Posted on: January 8th, 2018

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Zainab Telack amewataka wazazi kuhakikisha kuwa watoto walioandikishwa kuanza shule kuanzia kiwango cha elimu ya msingi pamoja na Sekondari wanamaliza elimu yao.

Amesema sheria iko wazi kuwa kila mzazi anapomuandikisha mtoto ahakikishe anamaliza elimu yake, mtoto akitoroka katikati hatafutwi mtoto isipokuwa mzazi.

Mhe. Telack ameyasema hayo katika ziara yake ya kukagua utekelezaji wa shughuli za kilimo na elimu Wilayani Kishapu, ziara atakayoifanya katika Halmashauri zote Mkoani hapa.

Amesema utoro wa aina yoyote hautaruhusiwa hivyo wataalamu watoe elimu kwa wazazi na kupita katika shule zote kuhakikisha watoto walioandikishwa wameripoti na apate taarifa ya taratibu za ufundishaji.

“kuanzia kesho wakaguzi wa elimu na maafisa elimu wapite mashuleni kukagua wanafunzi wote walioandikishwa, wote wanaoanza na wanaoendelea” ameagiza mhe. RC Telack.

Matangazo

  • No records found
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • RC. ANAMRINGI MACHA AKABIDHI OFISI KWA RC. MBONI MHITA

    July 01, 2025
  • RC. MBONI MHITA ASHIRIKI KIKAO KILICHOONGIZWA NA MHE. MCHENGERWA JIJINI DODOMA

    June 28, 2025
  • NAIPONGEZA OFISI YA MKUU WA MKOA WA SHINYANGA KWA URATIBU MZURI WA USHIRIKI WA WAFANYABIASHARA KATIKA MAONESHO YA SABASABA - MASUDI KIBETU

    June 28, 2025
  • MHE. MBONI MHITA AAPISHWA KUWA MKUU WA MKOA WA SHINYANGA

    June 28, 2025
  • Angalia zote

Video

MIFUKO BANDIA ZAIDI YA ELFU 20 YAKAMATWA SHINYANGA
Video Nyinginezo

Viunganishi vya Haraka

  • Historia
  • Dira na Dhima
  • Hotuba Mbalimbali
  • Video Mbalimbali
  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Picha za Matukio
  • Miongozo na kanuni

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Mfumo wa kutuma, kupokea na kufuatilia malalamiko, mapendekezo, maulizo na pongezi
  • Ofisi ya Rais Menejimenti ya utumishi wa Umma
  • Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Boma Street, Mwanza Road

    Anuani: P.O.Box 320, Shinyanga

    Simu: +255 28 2762222

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@shinyanga.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2018. Mkoa wa Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa