Saturday 23rd, September 2023
@Nyakabindi Bariadi - Simiyu
Sikukuu ya Wakulima Nanenane itafanyika viwanja vya Nyakabindi Bariadi Mkoani Simiyu ambapo Mgeni Rasmi atakuwa Mhe. Christina Solomon Mndeme. Haya ni maonesho ya Kanda ya Ziwa Mashariki ambayo inajumuisha Halmashauri 21 za Mkoa wa Shinyanga, Simiyu na Mara. Wananchi wamehamasishwa zaidi kujitokeza katika sherehe hizo zitakazo wakutanisha wataalamu mbalimbali wa kilimo ambapo wananchi wataweza kujifunza na kuona mbinu mpya za kilimo.
Boma Street, Mwanza Road
Anuani: P.O.Box 320, Shinyanga
Simu: +255 28 2762222
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ras@shinyanga.go.tz
Hakimiliki@2018. Mkoa wa Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa