Hii ni kwa ajili ya Watumishi wa Umma.
Ili uweze kupata Hati yako ya Mshahara, kwanza unatakiwa kujisajili kwenye mfumo wa Watumishi Portal. Mfumo huu wa watumishi utakuwezesha kupata taarifa zako za kiutumishi.
Utahitaji kufahamu yafuatayo:
Ili kujisajili Bofya hapa.Kujisajili kwenye mfumo
Pia Wizara ya fedha imetoa portal rasmi ya kupata salary slip kwa njia ya mtandao "Government Salary Slip Portal"
Taarifa zinazohitajika ni
Ukifanikiwa kusajiliwa utaenda ukurasa unaofuata ukajaze
Utaweza kuanza kuitumia baada ya saa 24.
Ili kujisajili tembelea link hii - https://salaryslip.mof.go.tz/Manage/EmployeeRegistration
au kuingia kwa waliojisajili kwenye Government Salary Slip Portal Bofya https://salaryslip.mof.go.tz/Account/Login?ReturnUrl=%2F
Boma Street, Mwanza Road
Anuani: P.O.Box 320, Shinyanga
Simu: +255 28 2762222
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ras@shinyanga.go.tz
Hakimiliki@2018. Mkoa wa Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa