Na. Paul Kasembo, KAHAMA.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Ushetu Bi. Hadija Kabojela amekabidhi Mwenge wa Uhuru kwa Mkurugenzi wa Kahama Ndg. Masudi Kibetu katika eneo la uwanja wa shule ya Msingi Nyandekwa Manispaa ya Kahama.
Mwenge wa Uhuru ukiwa Kahama Manispaa utaingazia miradi 8 yenye zaidi ya Tzs. Bilioni 13,8 na kukimbizwa 64.
OFISI YA MKUU WA MKOA, MKOA WA SHINYANGA, 04 MTAA WA BOMA
Anuani: P.O.Box 320, 37180,SHINYANGA, TANZANIA
Simu: +255 28 2762222
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ras@shinyanga.go.tz
Hakimiliki@2018. Mkoa wa Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa