KATIBU Tawala Mkoa wa Shinyanga CP. Salum Hamduni amekutana na Kamati ya Michezo kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) iliyomtembelea Ofisini kwake kwa lengo la kujitambulisha na kisha kumjulisha kuwa pamoja na mambo mengine, lakini wamefika hapa Shinyanga kuangalia vipaji vya wanamichezo na kushiriki michezo mbalimbali
Boma Street, Mwanza Road
Anuani: P.O.Box 320, Shinyanga
Simu: +255 28 2762222
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ras@shinyanga.go.tz
Hakimiliki@2018. Mkoa wa Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa