DODOMA.
Mapema leo Aprili 17, 2024 Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha amekuwa mmoia wa waliohudhuria Majadiliano ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Rais TAMISEMI kwa mwaka wa fedha 2024/2025, Bungeni Jijini Dodoma.
Picha ikimuonesha RC Macha (kulia) akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Songwe Mhe. Daniel Chongolo wakiteta jambo huku picha nyingine zikiwaonesha baadhi wa Wakuu wa Mikoa mbalimbali pamoja na ambapo pichq moja ikimuonesha Mbunge wa Jimbo la Geita Mhe. Joseph Musukuma wakati wa majadiliano.
HABARI PICHA
OFISI YA MKUU WA MKOA, MKOA WA SHINYANGA, 04 MTAA WA BOMA
Anuani: P.O.Box 37180,SHINYANGA, TANZANIA
Simu: +255 28 2762222
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ras@shinyanga.go.tz
Hakimiliki@2018. Mkoa wa Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa