MHE. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Agosti 30, 2024 amesafiri kwa kutumia Usafiri wa treni ya Mwendo Kasi (SGR) kutokea Dodoma kwenda Dar es Salaam ambako atakuwa mgeni rasmi katika Mkutano wa 12 wa Shirikisho la Watoa Huduma za Afya Afrika Mashariki utakao fanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC).

OFISI YA MKUU WA MKOA, MKOA WA SHINYANGA, 04 MTAA WA BOMA
Anuani: P.O.Box 320, 37180,SHINYANGA, TANZANIA
Simu: +255 28 2762222
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ras@shinyanga.go.tz
Hakimiliki@2018. Mkoa wa Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa