KARIBU MWENGE WA UHURU 2024 MKOANI SHINYANGA
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha anawakaribisha wananchi wote katika mapokezi ya Mwenge wa Uhuru 2024 utakaopokelewa tarehe 10 Agosti, 2024 katika viwanja vya shule ya msingi Kishapu, wilayani Kishapu.
OFISI YA MKUU WA MKOA, MKOA WA SHINYANGA, 04 MTAA WA BOMA
Anuani: P.O.Box 37180,SHINYANGA, TANZANIA
Simu: +255 28 2762222
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ras@shinyanga.go.tz
Hakimiliki@2018. Mkoa wa Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa