Na. Paul Kasembo, SHY RS.
Katika kuboresha na kuhakikisha kuwa watumishi wa Sekta ya Afya hususani katika Hospitali za Rufaa wanajengewa uwezo wa kutoa huduma kwa ubora unaotakiwa, Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Shinyanga (SRRH) leo tarehe 6 Mei, 2024 imeanza rasmi kuwapatia watumishi wake mafunzo ya Kitita cha Uzazi Salama.
HABARI PICHA
Boma Street, Mwanza Road
Anuani: P.O.Box 320, Shinyanga
Simu: +255 28 2762222
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ras@shinyanga.go.tz
Hakimiliki@2018. Mkoa wa Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa