• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
    • eVibali |
Shinyanga Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Shinyanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Yetu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Maji
      • Afya
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Shinyanga
    • Wilaya ya Kahama
    • Wilaya ya Kishapu
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu
    • Halmashauri ya Mji wa Kahama
    • Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu
    • Halmashauri ya Wilaya ya Msalala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Madini
    • Bandari Kavu
  • Huduma
    • Kutoa Ushauri wa Kitaalam
    • Kutafsiri Sheria na Sera
    • Kuratibu Shughuli za Wadau
    • Ulinzi na Usalama
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu
    • Tafiti
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha

MOMBURI AFUNGA MAFUNZO NA KUGAWA VYETI

Posted on: June 4th, 2024

Na. Paul Kasembo, SHY RS.

AFISA Ushirika kutoka Ofisi ya Mrajis Msaidizi Mkoa wa Shinyanga Ngd. Deogratous Momburi amefunga mafunzo na kugawa vyeti kwa washiriki kutoka  kwa viongozi wa Vyama Vya Ushirika vinavyojihusisha na Mazao ya Mbogamboga Shinyanga huku akiwasisitiza kwenda kuhamasishana na kuanzisha vyama vingine vingi zaidi ili ifike wakati waweze kuanzisha Chama Cha Ushirika Kikubwa zaidi na ikiwezekana kwa mwaka 2025 waweze kuibuka washindi kwenye Jukwaa la Ushrika.

Momburi ameyasema katika hafla ya ufungaji iliyofanyika kwenye Ukumbi wa mikutano wa Lyakale Hotel ambapo pamoja na mambo mengine wasiriki wamekumbushwa kwenda kuyatumia vema mafunzo haya na taaluma walizozipata katika kuimarisha na kuboresha kazi zao ikiwemo ya uandishi wa vitabu na utunzaji wa kumbukumbu hasa za fedha katika kudhibiti matumizi.

"Katumieni elimu na taaluma hii mliyoipata hapa katika mafunzo haya ya siku mbili katika kuimatisha utendaji kazi na kuboresha shughuli zenu za kila siku ikiwemo katika Uandiahi wa Vtabu na Uunzaji wa Kumbukumbu za Fedha sanjari na kwenda kuhamasisha na kuanzisha vyama vya ushiriki vingine ili ifike wakati muweze kuanzisha Chama kikubwa zaidi," amesema Momburi.

Momburi ambaye alimuwakilisha Mrajis Msaidizi wa Vyama vya Ushiriki Mkoa wa Shinyanga Bi. Hilda Boniphace amesema kuwa, Mrajis ameendelea kusisitiza kwamba Serikali inayo nia njema ya kuimarisha Vyama hivi vya Ushirika ili ziwe Imara zaidi na baadae ziwe kimbilio la wananchi walio wengi huku akisema kuwa vyama hivi vilivyopata mafunzo viende kuwa vya mfano wa kuigwa na kutafsiri kwa ufasaha Sheria za Ushirika zinavyoelekeza.

Kwa upande wake ndg. Justine Mallo kutoka COASCO ametoa wito kwa washiriki wote kwenda kuwa wajumbe na walimu wazuri ili kuimarisha vyama vya ushirika kwa kuanzisha vingi zaidi.

Akizungumza kwa niaba ya washiriki wenzake Bi. Laurencia Makwalwe ameishukuru sana Serikali na Wadau wote kwa kuwezesha kufanyika kwa mafunzo haya ambayo yamewaongezea uelewa na maarifa katika utendaji kazi wao wa kila siku na kwamba watakwenda kuwahamasha wenzao kuanzisha Vyama zaidi.

Matangazo

  • No records found
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • WANUFAIKA WA MIKOPO YA 10% LIPENI KWA WAKATI ILI PIA VIKOPESHWE NA VIKUNDI VINGINE - RC MACHA

    February 13, 2025
  • CP. HAMDUNI AKUTANA NA KAMATI YA MICHEZO YA JWTZ

    February 13, 2025
  • WANANCHI, LIPENI KODI YA ARDHI KWA WAKATI MUEPUKE RIBA - LEO KOMBA

    February 12, 2025
  • WAJUMBE WA BODI, TUMIENI TAALUMA ZENU KUISAIDIA HOSPITALI KUKAMILISHA MIRADI YA UJENZI- RAS CP. HAMDUNI.

    February 11, 2025
  • Angalia zote

Video

MIFUKO BANDIA ZAIDI YA ELFU 20 YAKAMATWA SHINYANGA
Video Nyinginezo

Viunganishi vya Haraka

  • Historia
  • Dira na Dhima
  • Hotuba Mbalimbali
  • Video Mbalimbali
  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Picha za Matukio
  • Miongozo na kanuni

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Mfumo wa kutuma, kupokea na kufuatilia malalamiko, mapendekezo, maulizo na pongezi
  • Ofisi ya Rais Menejimenti ya utumishi wa Umma
  • Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Boma Street, Mwanza Road

    Anuani: P.O.Box 320, Shinyanga

    Simu: +255 28 2762222

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@shinyanga.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2018. Mkoa wa Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa