Na. Paul Kasembo, SHY RS.
KATIBU Tawala Msaidizi, Utawala na Rasilimaliwatu Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga ndg.Moses Lwegoshora Pesha leo tarehe 27 Agosti, 2024 amefika kwenye Kituo cha Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Mpiga Kura kilichopo Shule ya Sekondari Buluba, Kata ya Shinyanga Mjini huku akitoa wito pia kwa watumishi wwgine kutumia muda huu uliobakia kwenda kupata huduma katika vituo mbalimbali kwenye maeneo yao.
"Kujiandikisha Kuwa Mpiga Kura ni Msingi wa Uchaguzi Bora"
Boma Street, Mwanza Road
Anuani: P.O.Box 320, Shinyanga
Simu: +255 28 2762222
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ras@shinyanga.go.tz
Hakimiliki@2018. Mkoa wa Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa