Paul Kasembo, SHY DC.
MKURUGENZI wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga Mwl. Alexius Kagunze leo tarehe 12 Agosti, 2024 amekabidhi Mwenge wa Uhuru 2024 kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga Dkt. Kalekwa Kasanga ambapo utakimbizwa KM 160, kuifikia miradi 14 yenye zaidi ya thamani ya Tzs. Bilioni 1.7
Boma Street, Mwanza Road
Anuani: P.O.Box 320, Shinyanga
Simu: +255 28 2762222
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ras@shinyanga.go.tz
Hakimiliki@2018. Mkoa wa Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa