KAHAMA.
MKUU w Wilaya ya Kahama Mhe. Mboni Mhita ameipongeza Exim Bank kwa kutoa msaada wa vifaa tiba katika Hospitali ya Halmashauri ya Manispaa ya Kahama.
Akiwasilisha vifaa tiba hivi, Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Exim Benki ndg. Stanley Kafu amesema kuwa mwananchi kupatiwa hudumu bora ya afya ni haki ya msingi. Na katika kuhakikisha hili linatekelezwa linahitaji juhudi za wadau wote zikiwemo na Sekta binafsi.
Boma Street, Mwanza Road
Anuani: P.O.Box 320, Shinyanga
Simu: +255 28 2762222
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ras@shinyanga.go.tz
Hakimiliki@2018. Mkoa wa Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa