Na. Paul Kasembo, Bulige - MSALALA.
KATIBU Tawala Wilaya ya Shinyanga ndg. Said Kitinga kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Mhe. Julius Mtatiro (Wakili) amemkabidhi Mwenge wa Uhuru ndg Hamad Mbega ambaye ni Katibu Tawala Wilaya ya Kahama kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe. Mboni Mhita katika Viwanja vya Shule ya Sekondari Bulige, Kijiji cha Bulige.
Mwene wa Uhuru ukiwa wilayani Kahama utakimbizwa Kilomita 317.2 kuifikia jumla ya ya miradi 24 yenye zaidi ya jumla ya Tzs. Bilioni 16.8 katika Halmashauri ya Msalala, Ushetu na Kahama Manispaa.
Boma Street, Mwanza Road
Anuani: P.O.Box 320, Shinyanga
Simu: +255 28 2762222
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ras@shinyanga.go.tz
Hakimiliki@2018. Mkoa wa Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa