• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
    • eVibali |
Shinyanga Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Shinyanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Yetu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Maji
      • Afya
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Shinyanga
    • Wilaya ya Kahama
    • Wilaya ya Kishapu
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu
    • Halmashauri ya Mji wa Kahama
    • Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu
    • Halmashauri ya Wilaya ya Msalala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Madini
    • Bandari Kavu
  • Huduma
    • Kutoa Ushauri wa Kitaalam
    • Kutafsiri Sheria na Sera
    • Kuratibu Shughuli za Wadau
    • Ulinzi na Usalama
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu
    • Tafiti
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha

OR - TAMISEMI YATOA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MAAFISA TARAFA NA WATENDAJI WA KATA MKOA WA SHINYANGA

Posted on: November 29th, 2023

Na. Shinyanga RS.

KATIBU Tawala Msaidizi, Sehemu ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Mkoa wa Shinyanga Mwl. Dafroza Ndalichako amefungua Mafunzo ya Kuwajengea Uwezo Maafisa Tarafa na Watendaji wa  Kata tarehe  29 Novemba, 2023 Mkoani Shinyanga.

Akifungua mafuzo haya  kwa niaba ya Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga Prof. Siza Tumbo Mwl. Ndalichako ametoa wito kwa Maafisa hao kuhakikisha wanayachukua na  kuyazingatia yale yote wanayofundishwa na sio kuyacha wakitoka hapo sababu mafunzo hayo yatawaongezea maarifa na ujuzi katika  utekelezaji wa majukumu yao.

Amewataka kujua na kukumbuka wao ni  viongozi sahihi na kuchaguliwa kwao hakujakuwa kwa bahati mbaya bali walionekana wanaweza kuisaidia Serikali katika kutoa huduma iliyobora kwa wananchi wake.

Naye Mkurugenzi wa Idara ya  Serikali za Mitaa, Ofisi ya Rais -TAMISEMI  Hamisi Mkunga amesema, kama Wizara inavyofanya kazi na wananchi wake moja moja  itaendelea  kusimamia maadili ya watumishi wa umma  inayowasimamia na pia kuhakikisha watumishi hao wanajengewa uwezo na kupewa mafunzo kwa ajili ya kuwa waadilifu, waaminifu na  wabunifu katika maeneo yao ya kazi.


Matangazo

  • No records found
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • AFISA UTAMADUNI MKUU AHITIMISHA SIKU YA NNE YA TAMASHA LA UTAMADUNI UKUNE, APONGEZA JUHUDI ZA KUHIFADHI MILA NA DESTURI ZA KISUKUMA.

    August 23, 2025
  • WAZIRI LUKUVI ATEMBELEA MGODI WA NYANDOLWA, AFIKISHA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA

    August 22, 2025
  • MSANII MBOSSO AMTEMBELEA MKUU WA MKOA WA SHINYANGA OFISINI KWAKE.

    August 22, 2025
  • RC MHITA ATAKA KASI KUONGEZWA KWA UTOAJI VITAMBULISHO VYA WAFANYA BIASHARA,ARUHUSU SOKO LA IBINZAMATA KUTUMIKA KAMA GULIO.

    August 22, 2025
  • Angalia zote

Video

SHINYANGA YAWAKILISHA KWA KISHINDO MWENGE WA UHURU 2025 HATUA KUBWA ZA MAENDELEO, UWAZI KWA WANANCHI
Video Nyinginezo

Viunganishi vya Haraka

  • Historia
  • Dira na Dhima
  • Hotuba Mbalimbali
  • Video Mbalimbali
  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Picha za Matukio
  • Miongozo na kanuni

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Mfumo wa kutuma, kupokea na kufuatilia malalamiko, mapendekezo, maulizo na pongezi
  • Ofisi ya Rais Menejimenti ya utumishi wa Umma
  • Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Boma Street, Mwanza Road

    Anuani: P.O.Box 320, Shinyanga

    Simu: +255 28 2762222

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@shinyanga.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2018. Mkoa wa Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa