• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
    • eVibali |
Shinyanga Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Shinyanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Yetu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Maji
      • Afya
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Shinyanga
    • Wilaya ya Kahama
    • Wilaya ya Kishapu
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu
    • Halmashauri ya Mji wa Kahama
    • Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu
    • Halmashauri ya Wilaya ya Msalala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Madini
    • Bandari Kavu
  • Huduma
    • Kutoa Ushauri wa Kitaalam
    • Kutafsiri Sheria na Sera
    • Kuratibu Shughuli za Wadau
    • Ulinzi na Usalama
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu
    • Tafiti
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha

PROF. SIZA TUMBO AWATAKA VIONGOZI WAPYA WA BARAZA KUWA WABUNIFU

Posted on: March 11th, 2024

Na. Shinyanga RS.

KATIBU Tawala Mkoa wa Shinyanga Prof. Siza Tumbo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi la Sekretarieti ya Mkoa wa Shinyanga amewataka viongozi wa Baraza hiki jipya kuja na ubunifu zaidi ikiwemo kufuatilia, kushughulikia na kutafuta ufumbuzi wa changamoto na masuala yote yahusuyo watumishi sanjari nankuwasilisha kwenye Menejimenti.

Haya yamesemwa leo tarehe 11 Machi, 2024 wakati wa kikao cha Baraza hili ambapo pamoja na maelekezo haya kwa uongozi mpya lakini pia amewaeleza watumishi wote kuwa na uzalendo, kutanguliza uzalendo na kuishi katika uzalendo wakati wote wanapokuwa wanahudumia jamii yetu, huku akisisitiza watumishi kutumia vema Baraza hili katika kuwasilisha masuala yao ya kiutumishi.

"Nitumie nafasi hii kuwataka viongozi wapya wa Baraza la Wafanyakazi kuja na ubunifu wa kazi zao ikiwemo kufuatilia, kuwasilisha na kutatua changamoto zinazowahusu wajumbe wa Baraza na mkatangulize zaidi uzalendo wakati wote mnapokuwa mnahudumia wananchi wetu," amesema Prof. Siza.

Kando na hayo, kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme ambaye hakuwepo, Prof. Siza amemshukuru sana Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuwa na imani nao katika kumsaidia kazi hapa  Mkoani Shinyanga na kuahidi kutumikia jamii kwa nguvu na weledi mkubwa zaid.

Baraza la Wafanyakazi ini chombo cha mawasiliano na ushauri ambacho viongozi na wafanyakazi hukaa pamoja na kuzungumzia mpango kazi na uchumi wa taasisi yao na kutathimini ufanisi na tija baada ya  kupanga na kutekeleza mipango ya taasisi.

Wafanyakazi hupata fursa ya kutoa maoni, changamoto na kushiriki na kushirikishwa katika mchakato wa uendeshaji wa taasisi yao.

Kwa uwazi na uhuru wote, wajumbe wamemchagua Ndg. James Maligisa kuwa Katibu na Naibu Katibu ni Ndg. Angel Silayo ambapo wamewashukuru wajumbe na kuwaahidi kuwatumikia kwa dhati na bila upendeleo wowote.

HABARI PICHA

Matangazo

  • No records found
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • WANUFAIKA WA MIKOPO YA 10% LIPENI KWA WAKATI ILI PIA VIKOPESHWE NA VIKUNDI VINGINE - RC MACHA

    February 13, 2025
  • CP. HAMDUNI AKUTANA NA KAMATI YA MICHEZO YA JWTZ

    February 13, 2025
  • WANANCHI, LIPENI KODI YA ARDHI KWA WAKATI MUEPUKE RIBA - LEO KOMBA

    February 12, 2025
  • WAJUMBE WA BODI, TUMIENI TAALUMA ZENU KUISAIDIA HOSPITALI KUKAMILISHA MIRADI YA UJENZI- RAS CP. HAMDUNI.

    February 11, 2025
  • Angalia zote

Video

MIFUKO BANDIA ZAIDI YA ELFU 20 YAKAMATWA SHINYANGA
Video Nyinginezo

Viunganishi vya Haraka

  • Historia
  • Dira na Dhima
  • Hotuba Mbalimbali
  • Video Mbalimbali
  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Picha za Matukio
  • Miongozo na kanuni

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Mfumo wa kutuma, kupokea na kufuatilia malalamiko, mapendekezo, maulizo na pongezi
  • Ofisi ya Rais Menejimenti ya utumishi wa Umma
  • Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Boma Street, Mwanza Road

    Anuani: P.O.Box 320, Shinyanga

    Simu: +255 28 2762222

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@shinyanga.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2018. Mkoa wa Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa