Sabasaba 2025.
Katibu Tawala wa Mkoa wa Kigoma Ndugu Hassan Rugwa ameipongeza Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga kwa uratibu bora kabisa na ushiriki katika Maonesho ya Biashara ya Kimataifa Sabasaba 2025.
Ndugu Hassan aliyasema hayo Julai 5, 2025 alipotembelea Mabanda ya Shinyanga yaliyomo katika Viwanja vya J.K Nyerere Barabara ya Kilwa yakiwa ni Maonesho ya msimu wa 49 ambapo kunakutanisha wafanyabiasha mbalimbali wa ndani na nje ya nchi ambao pia huleta bidhaa zao, kutangaza fursa zilizopo katika maeneo yao jambo ambalo linatajwa kuwa ni fursa muhimu na ya kipekee zaidi kwao kwani hubadilishana uzoefu, maarifa na kukuza mtandao wa kibiashara pia..
Boma Street, Mwanza Road
Anuani: P.O.Box 320, Shinyanga
Simu: +255 28 2762222
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ras@shinyanga.go.tz
Hakimiliki@2018. Mkoa wa Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa