MOROGORO.
Watumishi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga ambao wanashiriki michezo ya Shirikisho la Michezo ya Wizara, Idara, Wakala za Serikali na Ofisi za Wakuu wa Mikoa Tanzania (SHIMIWI) wakiwa na timu ya RAS SHINYANGA wameshiriki kwenye ufunguzi wa michezo hii inayoendelea hapa Morogoro.
SHIMIWI 2024 imefunguliwa leo tarehe 25 Septemba, 2024 na Naibu Waziri Mkuu na ambaye ni Waziri wa Nishati Mhe. Doto Biteko (MB).
Boma Street, Mwanza Road
Anuani: P.O.Box 320, Shinyanga
Simu: +255 28 2762222
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ras@shinyanga.go.tz
Hakimiliki@2018. Mkoa wa Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa