Na. Paul Kasembo, KISHAPU.
MKUU wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha leo tarehe 10 Agosti, 2024 katika viwanja vya Shule ya Msingi Kishapu wilayani Kishapu amepokea Mwenge wa Uhuru 2024 kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe. Kenan Kihongosi pamoja na wakimbiza Mwenge wakiongozwa na Godfrey Mzava.
Mwenge wa Uhuru ukiwa mkoani Shinyanga utakimbizwa kilometa 643.2 kuifikia miradi 46 yenye thamani ya Tzs. Bilioni 26.443 huku akitoa wito kwa wananchi wote kujitokeza katika miradi yote ambayo Mwenge wa Uhuru utafika kwani Mwenge ndiyo Tunu ya Taifa letu.
Boma Street, Mwanza Road
Anuani: P.O.Box 320, Shinyanga
Simu: +255 28 2762222
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ras@shinyanga.go.tz
Hakimiliki@2018. Mkoa wa Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa