Na. Paul Kasembo, SHY RS.
MKUU wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha amezindua Programu ya Imarisha Uchumi na Mama Samia (IMASA) ambayoninatekelezwa chiji ya Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) ambapo baada ya uzinduzi huu kutafanyika Mkutano wa NEEC na Wajasiriamalu wa Mkoa wa Shinyanga.
Katika mkutano huo wajasiriamali watapata nafasi ya kutambulishwa programu na kupitishwa kwenye mfumo wa ukusanyaji wa taarifa ambapo Mshauri wa Rais Wanawake na Makundi Maalum Bi. Sophia Mjema ataelezea kwa kina namna programu inavyofanya kazi.
Boma Street, Mwanza Road
Anuani: P.O.Box 320, Shinyanga
Simu: +255 28 2762222
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ras@shinyanga.go.tz
Hakimiliki@2018. Mkoa wa Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa