Na. Shinyanga RS.
MKUU wa Mko wa Shinyanga Mhe. Christina S. Mndeme amekutana na Mama Anna Abdallah ambaye ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Mali za Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa akiwa na viongozi mbalimbali mara baada ya kutembelea ofisini kwake, ambapo pamoja na mambo mengine lakini pia alimpongeza sana namna ambavyo anachapa kazi zake za kumsaidia Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan na utekelezaji wa Ilani ya CCM kwa ujumla katika Mkoa wa Shinyanga.
HABARI PICHA
Boma Street, Mwanza Road
Anuani: P.O.Box 320, Shinyanga
Simu: +255 28 2762222
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ras@shinyanga.go.tz
Hakimiliki@2018. Mkoa wa Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa