Na. Shinyanga RS.
MKUU wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme leo tarehe 3 Novemba, 2023 ameshiriki Semina ya Mafunzo kwa Wajumbe wa Baraza Kuu la UWT TAIFA yaliyofanyika Mkoani Kaskazini Zanzibar, ambapo pamoja na mambo mengine wamepata elimu juu ya Takwimu ya Sensa ya Watu na Makazi iliyofanyija mwaka 2022.
HABARI PICHA
Boma Street, Mwanza Road
Anuani: P.O.Box 320, Shinyanga
Simu: +255 28 2762222
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ras@shinyanga.go.tz
Hakimiliki@2018. Mkoa wa Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa