Na. Shinyanga RS
Uongozi, Menejimenti na Watumishi wote wa Mkoa wa Shinyanga tunakupongeza sana Bi. Christina S. Mndeme kwa kuteuliwa kwako na Mhe. Rais kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira).
Pia tunakushukuru sana kwa kipindi chote ulichokuwa nasi hapa ukitumikia nafasi ya Mkuu wa Mkoa.
Tunakutakia kila la kheri katika majukumu mapya ya kuwa Naibu Katibu Mkuu, Mwenyezi Mungu akubariki sana.
KAZI IENDELEE
Boma Street, Mwanza Road
Anuani: P.O.Box 320, Shinyanga
Simu: +255 28 2762222
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ras@shinyanga.go.tz
Hakimiliki@2018. Mkoa wa Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa