• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
    • eVibali |
Shinyanga Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Shinyanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Yetu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Maji
      • Afya
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Shinyanga
    • Wilaya ya Kahama
    • Wilaya ya Kishapu
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu
    • Halmashauri ya Mji wa Kahama
    • Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu
    • Halmashauri ya Wilaya ya Msalala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Madini
    • Bandari Kavu
  • Huduma
    • Kutoa Ushauri wa Kitaalam
    • Kutafsiri Sheria na Sera
    • Kuratibu Shughuli za Wadau
    • Ulinzi na Usalama
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu
    • Tafiti
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha

SERIKALI ITAENDELEA KUWALINDA WAZEE- NAIBU WAZIRI MWANAIDI

Posted on: June 15th, 2025

Repost #MJJWMM-Shinyanga.

Serikali inaendelea kuhakikisha Wazee wanaishi kwa usalama na kulindwa dhidi ya vitendo  na aina yoyote ya ukatili kupitia afua mbalimbali  ikijumlisha sera, kanuni na mikakati mbalimbali.

Hayo yamebainishwa na Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Mwanaidi Ali Khamis Juni 15, 2025 mkoani Shinyanga katika Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Kuelimisha na Kupinga Ukatili dhidi ya Wazee.

Naibu Waziri Mwanaidi amesema zipo sababu tofauti za ukatili katika jamii ikiwemo mila na desturi zenye madhara, imani potofu, ramli chonganishi pamoja na baadhi ya watoto kuwatelekeza wazazi wao na kuwadhulumu mali zao.

“Ni muhimu sote tukatambua kuwa ukatili haukubaliki kwa makundi yote katika jamii zetu, hivyo ni muhimu kila mmoja wetu akawa balozi mwema, mlinzi na mtoa taarifa mara anapoona vitendo vya ukatili dhidi ya Wazee kwani taarifa zinaonesha kuwa vitendo vya ukatili dhidi yao hufanywa na ndugu pamoja na watu wa karibu wanaowaamini.” amesema Naibu Waziri Mwanaidi.

Aidha Naibu Waziri Mwanaidi amebainisha baadhi ya jitihada zilizochukuliwa na Serikali kupitia Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wanawake na Makundi Maalum kwa kushirikiana na Wizara za kisekta ili kuhakikisha kundi hili linapata huduma stahiki  na kuboresha ustawi na maendeleo yao.

“Juhudi hizo ni pamoja na Utoaji wa huduma za afya kwa wazee, kuelimisha jamii kutambua na kuthamini mchango wa Wazee na kuendelea kutekeleza Kampeni ya “MPISHE MZEE KWANZA APATE HUDUMA”, kutoa huduma ya matunzo kwa Wazee na wasiojiweza kupitia makazi ya Wazee, ushirikishwaji wa Wazee kupitia Mabaraza ya Ushauri ya Wazee ambayo ni jukwaa muhimu linalowawezesha Wazee kuendelea kutoa mchango wao kwa maslahi ya maendeleo ya Taifa letu.” amesema Naibu Mwanaidi.

Akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa mkoa wa Shinyanga, Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Mhe. James Mtatiro ametoa rai kwa wazee kuwaandaa vijana wao kuwa na uwezo wa kijimudu kimaisha mapema, ili wasiwe  mizigo  kwao  baadaye.

Matangazo

  • No records found
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • TUTAENDELEA KUKABILIANA NA MABADILIKO YA TABIANCHI – RC. MACHA

    June 17, 2025
  • SERIKALI ITAENDELEA KUWALINDA WAZEE- NAIBU WAZIRI MWANAIDI

    June 15, 2025
  • SERIKALI YA MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN ITAENDELEA KUWATAMBUA, KUWATHAMINI NA KUWAHESHIMU WAZEE – RC MACHA

    June 14, 2025
  • MKURUGENZI MKUU WA TANESCO AMKABIDHI MKUU WA MKOA WA SHINYANGA JIKO LA KISASA LA UMEME

    June 09, 2025
  • Angalia zote

Video

MIFUKO BANDIA ZAIDI YA ELFU 20 YAKAMATWA SHINYANGA
Video Nyinginezo

Viunganishi vya Haraka

  • Historia
  • Dira na Dhima
  • Hotuba Mbalimbali
  • Video Mbalimbali
  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Picha za Matukio
  • Miongozo na kanuni

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Mfumo wa kutuma, kupokea na kufuatilia malalamiko, mapendekezo, maulizo na pongezi
  • Ofisi ya Rais Menejimenti ya utumishi wa Umma
  • Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Boma Street, Mwanza Road

    Anuani: P.O.Box 320, Shinyanga

    Simu: +255 28 2762222

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@shinyanga.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2018. Mkoa wa Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa