Na. Paul Kasembo, SHINYANGA DC.
Ukaguzi wa BVR na makabidhiano umefanyika na kukamilika katika Halmashauri zote za Mkoa wa Shinyanga na hivyo kulifanya zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Mpiga Kura ambalo kwa Mkoa huu lilianza rasmi tarehe 21 Agosti, 2024 na kukamilika tarehe 27 Agosti, 2024 huku ikiripotiwa kwenda vizuri kwa utekelezaji wa zoezi hili kama ilivyokusudiwa.
Kwa upande wake ndg. Bakari Kasinyo ambaye ni Mratibu wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Mpiga Kura Mkoa wa Shinyanga akiwapongeza na kuwashukuru wote kwa utekelezaji wa kazi hii muhimu kwetu sote.
Boma Street, Mwanza Road
Anuani: P.O.Box 320, Shinyanga
Simu: +255 28 2762222
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ras@shinyanga.go.tz
Hakimiliki@2018. Mkoa wa Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa