Na. Shinyanga RS.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Solomon Mndeme leo amekutana na wadau wanaowezesha utekelezaji wa mradi mkubwa wa umeme wa jua katika kijiji cha ngunga wilayaji kishapu, ambapo pamoja na mambo mengine wamekubaliana kwenda kukagua eneo linalotekelezwa mradi huo.
Mhe. Mndeme amewashukuru sana AFD Group Dar es salaam Agency kwa utayari huu, kwakuwa kukamlishwa kwa mradi huu kunakwenda kuondoa kabisa adha umeme katika mkoa wa shinyanga na kuisaidia gridi ya taifa katika eneo hilo kwakuwa hapo kunakwenda kuwekwa jumla ya umeme wa megawati 150, ambapo kwa kuanzia mkandarasi anajenga megawati 50.
HABARI PICHA
Boma Street, Mwanza Road
Anuani: P.O.Box 320, Shinyanga
Simu: +255 28 2762222
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ras@shinyanga.go.tz
Hakimiliki@2018. Mkoa wa Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa