• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
    • eVibali |
Shinyanga Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Shinyanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Yetu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Maji
      • Afya
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Shinyanga
    • Wilaya ya Kahama
    • Wilaya ya Kishapu
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu
    • Halmashauri ya Mji wa Kahama
    • Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu
    • Halmashauri ya Wilaya ya Msalala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Madini
    • Bandari Kavu
  • Huduma
    • Kutoa Ushauri wa Kitaalam
    • Kutafsiri Sheria na Sera
    • Kuratibu Shughuli za Wadau
    • Ulinzi na Usalama
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu
    • Tafiti
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha

WADAU WA MAZAO YA DENGU NA CHOROKO MKOA WA SHINYANGA WARIDHIA KUANZA KWA MATUMIZI YQ MFUMO WA STAKABADHI GHALANI

Posted on: February 15th, 2024

WADAU wa mazao ya dengu na choroko Mkoa wa Shinyanga kwa pamoja wameridhia kuanza kwa rasmi kwa matumizi ya Mfumo wa Stakabadhi Ghalani huku wakiiomba Serikali kuendelea kutoa elimukwa wakulima na wafanyabiashara ili kuwa na uelewa wa pamoja katika utekelezaji wake.

Akitoa taarifa ya awali katika mkutano huu, Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme amesema kuwa, ujio na uwepo wa mfumo huu wa Stakabadhi za Ghala una lengo la kumuwezesha mkulima na mfanyabiashara kuwa na tija katika shughuli zao huku akisisitiza juu ya usalama wa fedha zao kwakuwa zitakuwa chini ya Benki zetu.

RC MNDEME amesema kuwa, serikali haitakuwa tayari kabisa kuona mkulima au mfanyabiashara akidhulumiwa au kuonewa na upande wowote kwakuwa lwngo lake ni kuwakomboa wote kwa pmoja na wala siyo vinginevyo kama ambavyo imekuwa ikitafsiriwana baadhi ya makundi.

Ujio na uwepo wa  Mfumo huu wa Stakabadhi za Ghala unakuja kuwa mwarobaini wa ubabaishaji katika utekelezaji wa shughuli za wakulima na wafabyabiashara ambao ni wanunuzi na wadau wakuu wa mazao haya," alisema RC MNDEME.

Kwa upande wake Naibu Mrajis Udhibiti, Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania Bw. Collins Nyakunga amesema kuwa, uwepo wa Mfumo wa Stakabadhi Ghalani ni utekelezaji wa Ilani ya CCM ha 2020 Ibara ya 34 (b), utekelezaji wa maelekezo na maono ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania la kumtafutia soko la uhakika mkulima kupitia vyama vya ushirika.

Kuanza kwa utekelezaji wa mfumo huu kunatajwa kuchangia katika kuongeza uzalishaji wa mazao, kwani mkulima atapata fursa ya kuuza mazao yake kwa bei yenye faida, hivyo kuchochea wakulima kuongeza uzalishaji wa mazao kwa tija na ubora zaidi pamoja na kuongeza thamani ya mazao hayo.


HABARI PICHA

Mhe. Mboni Mhita, Mkuu wa Wilaya ya Kahama akifuatilia jambo wakati wa mkutano wa wadau wa mazao


Matangazo

  • No records found
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • KIKAO CHA MAPITIO YA ROBO MWAKA KWA KIPINDI CHA OKT - DES 2024 CHA (PJT MMMAM) CHAFANYIKA MKOANI SHINYANGA.

    February 28, 2025
  • RCC SHINYANGA YARIDHIA MAPENDEKEZO NANE (8) YA MATUMIZI BORA YA ARDHI.

    February 27, 2025
  • KUKAMILISHWA KWA MIRADI YA BARABARA KUTAPUNGUZA KERO KWA WANANCHI – RC MACHA

    February 26, 2025
  • WALIMU, TOENI ELIMU INAYOENDANA NA MABADILIKO YA TEKNOLOJIA -RC MACHA

    February 24, 2025
  • Angalia zote

Video

MIFUKO BANDIA ZAIDI YA ELFU 20 YAKAMATWA SHINYANGA
Video Nyinginezo

Viunganishi vya Haraka

  • Historia
  • Dira na Dhima
  • Hotuba Mbalimbali
  • Video Mbalimbali
  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Picha za Matukio
  • Miongozo na kanuni

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Mfumo wa kutuma, kupokea na kufuatilia malalamiko, mapendekezo, maulizo na pongezi
  • Ofisi ya Rais Menejimenti ya utumishi wa Umma
  • Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Boma Street, Mwanza Road

    Anuani: P.O.Box 320, Shinyanga

    Simu: +255 28 2762222

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@shinyanga.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2018. Mkoa wa Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa