• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
    • eVibali |
Shinyanga Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Shinyanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Yetu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Maji
      • Afya
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Shinyanga
    • Wilaya ya Kahama
    • Wilaya ya Kishapu
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu
    • Halmashauri ya Mji wa Kahama
    • Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu
    • Halmashauri ya Wilaya ya Msalala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Madini
    • Bandari Kavu
  • Huduma
    • Kutoa Ushauri wa Kitaalam
    • Kutafsiri Sheria na Sera
    • Kuratibu Shughuli za Wadau
    • Ulinzi na Usalama
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu
    • Tafiti
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha

WANUFAIKA WA MIKOPO YA 10% LIPENI KWA WAKATI ILI PIA VIKOPESHWE NA VIKUNDI VINGINE - RC MACHA

Posted on: February 13th, 2025

Na. Paul Kasembo, KISHAPU DC.

MKUU wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha amewataka wanufaika wa mikopo ya asilimia 10 kurejesha mikopo hiyo kwa wakati ili iweze kuwanufaisha na wengine na kuweza kufikia lengo la Serikali na wananchi kwa ujumla.

Hayo yamesemwa leo tarehe 13 Februari, 2025 wakati wa hafla ya kukabidhi mfano wa Hundi kwa vikundi nufaika yenye zaidi ya Milioni 587.5 hafla iliyofanyika katika viwanja vya Halmashaui ya Wilaya ya Kishapu na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali akiwemo Mkuu wa Wilaya ya Kishapu Mhe. Victor Masindi, viongozi wa vyama vya siasa, wataalam wakionhozwa na Katibu Tawala Wilaya ya Kishapu Bi. Fatma Mohamed pamoja na wananchi.

"Pamoja na kuwapongeza kwa hatua hii, niwatake sasa kuhakikisha mnarejesha mikopo hii mnayokopeshwa kwa wakati ili Serikali iweze kuwapatia na vikundi vingine na mwisho tuweze kufikia lengo kusudiwa kwa Serikali na wananchi kwa ujumla wake," amesema RC Macha.

Hii inafuatia Kamati ya Huduma za Mikopo ngazi ya Halmashauri kufanya uhakiki wa nyaraka za vikundi hivyo vilivyowasilisha maombi na kisha ziara ya ukaguzi wa miradi ilifanyika ili kuona uhalisia na baadae vikao vya tathimini vya kamati vilifanyika kwa pamoja na timu ya Menejimenti ambapo ilijiridhisha pasipokuwa na shaka kisha kuridhia kutolewa kwa mikopo hiyo.

Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu imetenga takribani Milioni 726. 8 kwa ajili ga kukopesha vikundi ambapo dirisha la maombi ya mikopo lilipokea kwa vikundi 162 huku vya wanawake ni 102, vijana 54 na watu wenye ulemavu 6 ambapo vikundi 59 kwa awamu ya kwanza ikiwa ni vikundi 35 vya wanawake, vijana vikundi 22 na watu wenye ulemavu 2 huku akiwasisitiza kwenda kuitendea haki na kuweza kufikia lengo kusudiwa la Serikali.


Matangazo

  • No records found
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • WANUFAIKA WA MIKOPO YA 10% LIPENI KWA WAKATI ILI PIA VIKOPESHWE NA VIKUNDI VINGINE - RC MACHA

    February 13, 2025
  • CP. HAMDUNI AKUTANA NA KAMATI YA MICHEZO YA JWTZ

    February 13, 2025
  • WANANCHI, LIPENI KODI YA ARDHI KWA WAKATI MUEPUKE RIBA - LEO KOMBA

    February 12, 2025
  • WAJUMBE WA BODI, TUMIENI TAALUMA ZENU KUISAIDIA HOSPITALI KUKAMILISHA MIRADI YA UJENZI- RAS CP. HAMDUNI.

    February 11, 2025
  • Angalia zote

Video

MIFUKO BANDIA ZAIDI YA ELFU 20 YAKAMATWA SHINYANGA
Video Nyinginezo

Viunganishi vya Haraka

  • Historia
  • Dira na Dhima
  • Hotuba Mbalimbali
  • Video Mbalimbali
  • Maswali yaulizwayo mara kwa mara
  • Picha za Matukio
  • Miongozo na kanuni

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Mfumo wa kutuma, kupokea na kufuatilia malalamiko, mapendekezo, maulizo na pongezi
  • Ofisi ya Rais Menejimenti ya utumishi wa Umma
  • Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Boma Street, Mwanza Road

    Anuani: P.O.Box 320, Shinyanga

    Simu: +255 28 2762222

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@shinyanga.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2018. Mkoa wa Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa