WAZIRI wa Maji Mhe. Jumaa Aweso amezindua mradi wa maji katika kijiji cha Busenda kikichopo kata ya Chona Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu uliotekelezwa na Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) mkoa wa shinyanga ambapo chanzo cha mradi huu ni kisima kirefu wa mita 115 na na umegharimu takribani Tzs. Mil. 344.
Uwepo wa mradi huu, unatajwa kuja kuwanufaisha wananchi zaidi 3,551 wanaoishi katika kata hii ya Chona pamoja na maeneo ya jirani hafla hii imefanyika tarehe 9 Jan, 2024.
Boma Street, Mwanza Road
Anuani: P.O.Box 320, Shinyanga
Simu: +255 28 2762222
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ras@shinyanga.go.tz
Hakimiliki@2018. Mkoa wa Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa