Mkuu wa Majeshi Tanzania Jenerali Venance Salvatory Mabeyo amesema ushirikiano kati ya vyombo vya usalama na wananchi wote unahitajika katika kulinda amani ya nchi.
Jenerali Mabeyo ametoa wito huo mapema jana alipotembelea Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga akiwa katika ziara ya kujitambulisha kwenye vikosi mbalimbali vya jeshi Mkoani hapa.
"Ni jukumu la wote kulinda usalama ndani ya nchi" amesema Jenerali Mabeyo.
Boma Street, Mwanza Road
Anuani: P.O.Box 320, Shinyanga
Simu: +255 28 2762222
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ras@shinyanga.go.tz
Hakimiliki@2018. Mkoa wa Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa