Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe. Fadhili Nkurlu akizungumza na wananchi kabla ya kumkaribisha Mkuu wa Mkoa kuongea na wananchi, Wilayani Kahama katika shule ya Msingi Muhungula.
Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe. Fadhili Nkurlu akizungumza na wananchi wa kata ya Muhungula Wilaya ya Kahama wakati wa ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Zainab Telack jana.
Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe. Fadhili Nkurlu, akimkaribisha Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Zainab Telack kuzungumza na wananchi wakati wa ziara ya Mkuu wa Mkoa Wilayani humo.
Mmoja wa wananchi wa kata ya Muhungula Wilaya ya Kahama akieleza kero za wananchi wa kata hiyo kwa Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga.
Bw. Nicholas Eliti ambaye ni mwananchi wa Kata ya Muhungula akimueleza Mkuu wa Mkoa kero mbalimbali kwa niaba ya wananchi wa kata hiyo Wilayani Kahama.
Bi. Christina Emmanuel akimueleza Mkuu wa Mkoa Mhe. Zainab Telack, kero za wananchi wa kata ya Muhungula katika Wilaya ya Kahama wakati wa ziara ya Mkuu wa Mkoa Wilayani Kahama.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Zainab Telack akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Kahama katika viwanja vya shule ya msingi Muhungula wakati wa ziara yake ya kawaida Wilayani humo.
Mkuu wa Mkoa Mhe. Zainab Telack akizungumza na wananchi wa kata ya Muhungula Wilayani Kahama wakati wa ziara yake ya kawaida Wilayani humo.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Zainab Telack akizungumza na wananchi na wanafunzi wa shule ya Msingi Muhungula katika ziara yake ya kawaida Wilayani humo.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Zainab Telack akiwasili katika viwanja vya shule ya msingi Muhungula Wilayani Kahama kwa ajili ya kuzungumza na kusikiliza kero za wananchi wa Wilaya hiyo. Kulia na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Kahama Bw. Anderson Msumba akimkaribisha Mkuu wa Mkoa.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Zainab Telack akipanda mti katika shule ya Sekondari ya Mishepo, Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga hivi karibuni.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Zainab Telack akipanda mti katika shule ya Sekondari Mishepo iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga kuzindua kampeni ya upandaji miti Mkoani Shinyanga.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Zainab Telack akimkabidhi Kiranja Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Mishepo alioupanda kwa ajili ya kuutunza
Zoezi la upandaji miti katika uzinduzi likiendelea
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Zainab Telack akitoa maelezo mafupi mara baada ya uzinduzi wa kupanda miti Kimkoa uliofanyika kwenye shule ya Sekondari ya Mishepo, katika Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Zainab Telack (katikati) akisisitiza jambo mara baada ya zoezi la upandaji miti lililofanyika kwenye shule ya Sekondari Mishepo katika Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga.
Boma Street, Mwanza Road
Anuani: P.O.Box 320, Shinyanga
Simu: +255 28 2762222
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ras@shinyanga.go.tz
Hakimiliki@2018. Mkoa wa Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa