Uzinduzi wa Tovuti za Mikoa na Halmashauri tarehe 26 Machi, 2017 ambapo Mgeni rasmi alikuwa na Waziri wa Ofisi ya Rais Tamisemi Mhe. George Simbachawene.
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inawakaribisha wananchi wote kwenye sherehe za maadhimisho ya miaka 53 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar yatakayofanyika Kitaifa Mkoani Dodoma tarehe 26 Aprili, 2017. Mgeni rasmi wa maadhimisho hayo ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli. Wote mnakaribishwa.
Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Mhe. Josephine Matiro akizungumza na wananchi waliojitokeza kwenye uzinduzi wa wiki ya Maji Mkoani Shinyanga katika Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga, kata ya Usanda, kijiji cha Manyada. Mhe. Matiro alikuwa ni mgeni rasmi katika uzinduzi huo akimuwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Zainab Telack.
Hakimiliki@2018. Mkoa wa Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa