Posted on: January 11th, 2020
Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga Bw. Albert Msovela amewataka viongozi na watendaji kuzingatia suala la uadilifu katika utendaji wa shughuli za Umma ili kuepukana na madhara yanayotokana na mgongano wa...
Posted on: January 8th, 2020
Wananchi wa Kahama wamshukuru Rais Magufuli kwa kuwachangia ujenzi wa shule
Shule ya msingi Mayila iliyopo Mtaa wa Mayila, kata ya Nyihogo Wilaya ya Kahama imefunguliwa rasmi huku wananchi wa kata ...
Posted on: January 8th, 2020
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Zainab Telack amemtaka Mwenyekiti wa kijiji cha Ilindi, kata ya Zongomela kuhakikisha mtoto Majebele Masanja anaacha mara moja kazi ya kuchunga ng’ombe na anapelekwa shu...