Posted on: December 4th, 2019
Mkuu wa Wilaya ya Kishapu Mhe. Nyabaganga Taraba amekemea tabia ya baadhi ya Waganga wa Kienyeji Mkoani hapa ya kuwapa dawa mabinti wadogo kwa madai ya kuwaosha ili waolewe.
Mhe. Taraba akizu...
Posted on: November 14th, 2019
Waziri wa Habari, Michezo, Sanaa na Utamaduni Mhe. Harrison Mwakyembe amewakumbusha Wananchi kushiriki na kudumisha amani katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika tarehe 24 Novemba, 2019.
...
Posted on: November 14th, 2019
Askofu wa jimbo Katoliki Shinyanga Mhashamu Liberatus Sangu ameyasema hayo leo tarehe 14 Novemba, 2019 kwenye misa ya shukrani ya Jubilee ya miaka 25 ya upadri iliyofanyika katika kanisa kuu la Mama m...