Posted on: August 22nd, 2019
Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mhe. Balozi Seif Ali Idd amewaahidi wananchi wa Wilaya ya Kishapu kukamilika mradi wa maji ya Ziwa Viktoria.
Akizungumza na wananchi hao...
Posted on: August 21st, 2019
Akizungumza na wananchi wa kijiji cha Lyamidati katika Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga mapema leo tarehe 21/08/2019, Makamu wa pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali...
Posted on: August 20th, 2019
Wakulima wa Tumbaku katika Mkoa wa Shinyanga wamepata matumaini baada ya kuhakikishiwa soko la Tumbaku takribani kilo milioni 2 iliyokuwa imebaki kutokana na mnunuzi wa awali kushindwa kuendelea kunun...