Posted on: March 21st, 2017
Viongozi wa mamlaka za Serikali za Mitaa wametakiwa kutunga sheria ndogondogo kwa lengo la kuwabana wananchi wanaotumia maji ya kwenye madimbwi badala ya maji safi.
Agizo hilo limetolewa na Mkuu wa...
Posted on: March 21st, 2017
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Zainab Telack amesema Mkoa wa Shinyanga mwaka huu 2016/ 2017 umetenga shilingi 5,987,366,000 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya Maji Mkoani hapa.
Mhe. Telack amese...
Posted on: March 9th, 2017
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Zainab Telack amekabidhi misaada yenye thamani ya zaidi ya sh. milioni 2 kwa wanawake 23 wahitaji wanaoishi katika Tarafa ya Ibadakuli, Halmashauri ya Manispaa ya Shinya...