Posted on: July 21st, 2017
Wadau wa Elimu Mkoani Shinyanga wameazimia kwa pamoja kuhakikisha tatizo la mimba kwa wanafunzi linakwisha kwa kuzitaka kila Halmashauri kuweka mkakati wa kutoa elimu ya kujitambua kwa watoto wa kike ...
Posted on: July 17th, 2017
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa amesema Serikali imeshatafuta Mkandarasi wa ujenzi wa uwanja wa ndege wa Ibadakuli uliopo katika Manispaa ya Shinyanga Mkoani Shinyanga...
Posted on: July 12th, 2017
Jumla ya miradi 60 ya maendeleo yenye thamani ya shilingi 15, 305,964,195.75 itapitiwa na Mwenge wa Uhuru ukiwa Mkoani Shinyanga.
Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga Bw. Albert Msovela amesema wakati a...