Posted on: February 27th, 2017
Wananchi wa Mkoa wa Shinyanga wamehimizwa kujitokeza na kutoa ushirikiano kwa wataalamu wa utafiti wa viashiria na matokeo ya Virusi vya UKIMWI ili kupata mwelekeo wa hali ya ugonjwa huo hapa nchini.
...
Posted on: February 27th, 2017
Serikali imesema itaendelea kusimamia na kusisitiza suala la kuwa na Maktaba kwa kila shule ya Msingi na Sekondari ili kuhakikisha wanafunzi wote wanakuwa na tabia ya kujisomea na kusoma vitabu halali...
Posted on: February 18th, 2017
Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji wa Serikali ya Tanzania Dkt. Hassan Abbas amewataka Maafisa Habari wa Serikali kuwa na malengo makubwa katika kutekeleza majukumu yao na kuhakikisha sh...