Posted on: May 29th, 2020
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Bi. Zainab Telack amekabidhi Pikipiki 14 kwa Maafisa Tarafa wa Mkoa wa Shinyanga kwa lengo la kurahisisha utendaji kazi wao na kuonya kuwa hatarajii kuona pikipiki hizo zikit...
Posted on: February 11th, 2020
Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu, Wilayani Kahama inatarajiwa kukamilika na kuanza kutoa huduma kwa wananchi zaidi ya laki 340 wa Halmashauri hiyo mwezi Aprili mwaka huu.
Akitoa maelezo...
Posted on: February 6th, 2020
Wananchi wametakiwa kuacha kupeleka kwenye Ofisi za Wakuu wa Wilaya na Mikoa malalamiko yanayolenga mashauri ambayo tayari yapo mahakamani.
Akizungumza kwenye maadhimisho ya siku ya Sheria leo tare...