Posted on: May 7th, 2018
Jumla ya wanafunzi 1352 waliosajiliwa kufanya mtihani wa Taifa wa kidato cha sita katika Mkoa wa Shinyanga, wameungana na wenzao nchini kufanya mtihani huo ulioanza leo tarehe 07 Mei, 2018.
T...
Posted on: April 23rd, 2018
Wanawake nchini wameaswa kuwa na tabia ya kufanya uchunguzi wa mara kwa mara wa Saratani za matiti na mlango wa kizazi ili kupata tiba mapema iwapo watagundulika kuwa na virusi vya Saratani hizo.
W...
Posted on: April 16th, 2018
Mkoa wa Shinyanga umelenga kutoa chanjo mpya ya saratani ya mlango wa kizazi kwa wasichana 29,451 kwenye uzinduzi wa chanjo hiyo utakaofanyika hapo Jumatatu ya tarehe 23 Aprili, 2018 katika viwanja vy...