Posted on: July 17th, 2017
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa amesema Serikali imeshatafuta Mkandarasi wa ujenzi wa uwanja wa ndege wa Ibadakuli uliopo katika Manispaa ya Shinyanga Mkoani Shinyanga...
Posted on: July 12th, 2017
Jumla ya miradi 60 ya maendeleo yenye thamani ya shilingi 15, 305,964,195.75 itapitiwa na Mwenge wa Uhuru ukiwa Mkoani Shinyanga.
Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga Bw. Albert Msovela amesema wakati a...
Posted on: May 31st, 2017
Serikali ya Mkoa wa Shinyanga imewashauri wadau wa afya Mkoani hapa kuanza kuwaelimisha wananchi kujikinga na maradhi mbalimbali badala ya kutumia fedha na nguvu katika kutibu.
Akifungua kika...