Posted on: February 11th, 2020
Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu, Wilayani Kahama inatarajiwa kukamilika na kuanza kutoa huduma kwa wananchi zaidi ya laki 340 wa Halmashauri hiyo mwezi Aprili mwaka huu.
Akitoa maelezo...
Posted on: February 6th, 2020
Wananchi wametakiwa kuacha kupeleka kwenye Ofisi za Wakuu wa Wilaya na Mikoa malalamiko yanayolenga mashauri ambayo tayari yapo mahakamani.
Akizungumza kwenye maadhimisho ya siku ya Sheria leo tare...
Posted on: February 5th, 2020
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Zainab Telack ameiagiza Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa TAKUKURU Mkoani Shinyanga kufanyia uchunguzi tuhuma zinazomkabili Afisa Mtendaji wa kijiji cha Nyandekwa...