Posted on: October 23rd, 2019
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt Zainab Chaula amesema Hospitali za Umma zinatakiwa kuwa na mazingira mazuri ya kuwavutia wananchi kukimbilia kupata hudum...
Posted on: October 21st, 2019
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Zainab Telack amewaonya wakandarasi wanaotekeleza ujenzi wa miradi mbalimbali Mkoani hapa kuwa makini na kazi wanazopewa na Serikali na kufuata maelekezo yaliyomo kwenye...
Posted on: October 17th, 2019
Mkoa wa Shinyanga unatarajia kutoa chanjo ya Surua na Rubella kwa watoto 286,124 wenye umri wa miezi 9 hadi miaka minne na miezi 11 kwa siku tano za kampeni ya hiyo ya Kitaifa iliyozinduliwa mapema le...