Posted on: May 4th, 2019
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Zainab Telack amezionya taasisi za fedha zinashikilia kadi za kutolea fedha za Watumishi wa Umma kinyume na utaratibu.
Onyo hilo amelitoa mapema leo tarehe 04 ...
Posted on: May 3rd, 2019
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Zainab Telack amefungua soko la madini leo tarehe 03 Mei, 2019 katika Wilaya ya Shinyanga likiwa ni soko la pili baada ya soko jingine kufunguliwa Wilayani Kahama mwezi ...
Posted on: April 30th, 2019
Almasi yenye ukubwa wa karati 521 imepatikana Mkoani Shinyanga kutoka kwa mchimbaji mdogo na kuwa Almasi ya mfano Nchini Tanzania tangu kuanza kuchimbwa madini hayo.
Akitoa taarifa hiyo Ofisini kwa...